Thursday, October 3, 2019

WADAU WA LISHE NCHINI WAKUTANA KUJADILI TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA LISHE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu wakuu wa Wizara ,baada ya kufungua Mkutano wa  Wadau wa Lishe kwenye Ukumbi wa Kambararage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019. Kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda na kulia kwake ni  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wadau wa Lishe kabla ya kufungua  Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
Baadhi ya wakurugenzi wa Wizara  wakifuatilia  Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
Baadhi ya maafisa wa serikali na maafisa Lishe  wakifuatilia  Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
Baadhi ya Makatibu wakuu  wakifuatilia  Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
Waziri Mkuu Mstaafu,  Mhe. Mizengo Pinda  akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
Mwakilishi wa FAO nchini, Fred Kafeero akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
Baadhi ya maofisa wa  Idara na Taasisi za serikali wakifuatilia  Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), Dorothy Mwaluko,  akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
Baadhi ya wakurugenzi wa Idara na Taasisi za serikali wakifuatilia  Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) , Mhe. Jenista Mhagama akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Lishe na Chakula Tanzania, Dkt. Germana Leyna  akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
Baadhi ya wakurugenzi wa Wizara  wakifuatilia  Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.