Wednesday, October 30, 2019

WAZIRI MHAGAMA AFUNGUA KIKAO CHAKUJADILI MWENENDO WA ZOEZI LA KUHAMIA DODOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.  Jenista Mhagama akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao chake na Menejimenti ya ofisi yake na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la hilo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma Oktoba 30, 2019.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri (Bunge na Waziri Mkuu) Bw.Tixon Nzunda akichangia hoja wakati wa kikao cha Menejimenti ya ofisi yake na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.  Jenista Mhagama akichangia jamboi wakati wa kikao chake na Menejimenti ya ofisi yake na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa kikao kazi cha Menejimenti ya Ofisi ya Waziri  Mkuu pamoja na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma wakifuatilia mada zilizowasilishwa wakati wa kikao hicho, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa kikao kazi cha Menejimenti ya Ofisi ya Waziri  Mkuu pamoja na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma wakifuatilia mada zilizowasilishwa wakati wa kikao hicho.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akichangia hoja wakati wa kikao kazi cha Menejimenti ya Ofisi ya Waziri  Mkuu pamoja na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma.
Katibu wa Kikosi kazi cha Kuratibu zoezi la Serikali kuhamia Dodoma Bw. Mershach Bandawe akiwasilisha taarifa ya Saba ya zoezi la Kuhamia Dodoma na Ujenzi wa Mji wa Serikali Awamu ya Kwanza  wakati wa kikao hicho.
Katibu wa Kikosi kazi cha Kuratibu zoezi la Serikali kuhamia Dodoma Bw. Mershach Bandawe akiwasilisha taarifa ya Saba ya zoezi la Kuhamia Dodoma na Ujenzi wa Mji wa Serikali Awamu ya Kwanza  wakati wa Kikao kazi cha Kujadili Mpango wa Serikali kuhamia Dodoma na Mwenendo wa zoezi hilo kilichoongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ((Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.  Jenista Mhagama.
Mwenyekiti wa Timu ya Kutengeneza Mpango Kabambe wa Jiji la Dodoma Prof. John Lupala akiwasilisha mpango huo wakati wa kikao cha Menejimenti ya ofisi yake na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.