Saturday, October 19, 2019

MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI MKOA WA PWANI

Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Elibariki Parsalam   kuhusu utengenezaji wa chakula cha  kuku wakati alipotembelea banda la kampuni ya Hill Feeds katika Kongamano la Uwekezaji Mkoa wa Pwani alilolifungua kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Oktoba 19, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo wakitazama malighafi ya Pazolana inayotumika kutengeneza Saruji wakati Waziri Mkuu  alipotembelea banda la kampuni  ya saruji ya Tanga katika Kongamano la Uwekezaji Mkoa wa Pwani lililofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani mjini Kibaha, Oktoba 19, 2019.   Wa pili kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Uwekezaji), Angela Kairuki na kushoto ni Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Mhandisi Benedict Lema.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza wakati alipofungua Kongamano la Uwekezaji Mkoa wa Pwani  kwenye ukumbi  wa Mkuu  wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani mjini Kibaha, Oktoba 19, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua  Mwongozo wa uwekezaji Mkoani Pwani   katika Kongamano la Uwekezaji Mkoani Pwani alilolifungua kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mjini Kibaha, Oktoba 19, 2019. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angela Kairuki na kushoto ni  Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua  Mwongozo wa uwekezaji Mkoani Pwani   katika Kongamano la Uwekezaji Mkoani Pwani alilolifungua kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mjini Kibaha, Oktoba 19, 2019. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angela Kairuki na kushoto ni  Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha Mwongozo wa uwekezaji Mkoani Pwani baada ya kuuzindua katika Kongamano la Uwekezaji Mkoa wa  Pwani alilolifungua kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mjini Kibaha, Oktoba 19, 2019. Kulia  ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angela Kairuki na kushoto ni  Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Uwekezaji Mkoa wa Pwani wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Kongamano hilo kwenye ukumbi  wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani mjini Kibaha, Oktoba 19, 2019.



EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.