Sunday, October 20, 2019

MAJALIWA AKUTANA NA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU WA WIZARA YA KILIMO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  leo Oktoba 20,2019 amekutana na Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Wizara ya Kilimo katika kikao cha kazi kilichofanyika kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam. Pichani, Waziri Mkuu akizungumza na Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga (wa pili kulia), Naibu Waziri wa  Kilimo, Omari Mgumba (wa tatu kulia), Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (wa pili kushoto), Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe, na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Profesa Siza Tumbo.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.