Saturday, October 12, 2019

MAJALIWA AJIANDIKISHA KWA AJILI YA UCHAGUZI UJAO WA SERIKALI ZA MITAA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akijiandikisha kwa ajili ya uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa katika kituo cha Shule ya Msingi ya Nandagala wilayani Ruangwa, Oktoba 12, 2019. Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa na kulia ni Mwandikishaji, Shaka Msange.
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia wakati mkewe Mary alipojiandikisha  kwa ajili ya uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa  kwenye kituo cha Shule ya Msingi ya Nandagala wilayani Ruangwa, Oktoba 12, 2019. Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa na kulia ni Mwandikishaji wa kituo hicho, Shaka Msange.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi  ujao wa Serikali za mitaa  kwenye  kituo cha Shule ya Msingi ya Nandagala wilayani Ruangwa, Oktoba 12, 2019.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa  akizungumza na Binti Mkumba baada ya kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa  kwenye kituo  cha Shule ya Msingi ya Nandagala wilayani Ruangwa, Oktoba 12, 2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.