Tuesday, October 1, 2019

MAJALIWA AHUTUBIA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI KITAIFA MJINI MTWARA

Wazee wakiandamana  katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mjini Mtwara, Oktoba 1, 2019. Mgeni Rasmi alikuwa ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa .
Mmoja wa wazee waloishirki katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia katika Maadhimisho hayo, Oktoba 1, 2019.
Wazee wakiandamana  katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mjini Mtwara, Oktoba 1, 2019. Mgeni Rasmi alikuwa ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu  (kushoto) na  Mkuu wa Mkoa wa Mtwara,  Gelasius Byakanwa wakipokea maandamano ya Wazee katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani  yaliyofanyika Kitaifa kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara, Oktoba 1, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara, Alphayo Kidata wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mtwara ambako alikuwa mgeni rasmi katika   Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika Kitaifa kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona. Oktoba 1, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika Kitaifa kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mjini Mtwara, Oktoba 1, 2019. Kulia ni Mkalimani wa lugha ya alama, Ally Nalinga Uwesu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika Kitaifa kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mjini Mtwara, Oktoba 1, 2019.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.