Wednesday, October 9, 2019

WAZIRI MHAGAMA AKAGUA MAANDALIZI YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU – LINDI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akieleza jambo kwa Wanakamati ya Maandalizi alipotembelea Uwanja wa Ilulu kukagua maandalizi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru zinazotarajiwa kufanyika Mkuani Lindi. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi.

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama alipotembelea uwanja wa Ilulu kukagua maandalizi ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Andrew Massawe.
Sehemu ya watoto wa halaiki wakifanya mazoezi ya utayarisho kuelekea Kilele cha mbio za mwenge wa Uhuru zinazotarajiwa kufanyika Mkoani Lindi Oktoba 14, 2019.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na watoto wa halaiki alipowatembea kwa ajili ya kukagua maandalizi yao kuelekea Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na watoto wa halaiki alipowatembea kwa ajili ya kukagua maandalizi yao kuelekea Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akipokea mwamvuli kutoka kwa Meneja wa Kampuni ya Simu ya Airtel Tanzania kanda ya Lindi Bw. Zephania Ludigija itakayotumiwa na Watoto wa Halaiki.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.