Thursday, October 17, 2019

MAJALIWA AKAGUA MAANDALIZI YA OFISI ZA MUDA ZA HALMASHAURI YA MTAMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maadalizi ya Ofisi za muda za Halmashauri ya Mtama mkoani, Lindi, Oktoba 17, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maandalizi ya Ofisi za muda za Halmashauri ya Mtama Oktoba 17, 2019. Wa pili kulia ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye na Wa tatu kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mtama, M. Matei.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Mtama  baada ya kukagua maandalizi ya ofisi za muda za halmashauri hiyo Oktoba 17, 2019. Kushoto ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.