Thursday, October 10, 2019

MAJALIWA AZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI YA VIJANA KITAIFA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa, Olman Ndetembea ambaye ni  Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tekinolojia cha Mbeya na Mbunifu  kiti maalum cha walemavu ambacho pia kinaweza kutumiwa kama kitanda au kifaa cha mazoezi ya kusimama katika maadhimisho ya wiki ya vijana kitaifa  yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mpilipili mjini Lindi, Oktoba 10, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuui, Sera, Bunge, Ajira, Vijana, Kazi na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wa pili kulia) wakizungumza na vijana wa Kikundi cha Kimataifa cha Vijana (International Youth Felloship – IYF) wakati alipotembelea banda la kikundi hicho katika maonyesho ya wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mpilipili mjini Lindi, Oktoba 10, 2019. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama chupa yenye dawa za kulevya wakati alipotembelea banda la Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya wakati alipofungua maadhimisho ya  wiki ya Vijana Kitaifa  kwenye Viwanja vya Mpilipili mjini Lindi, Oktoba 10, 2019. Kushoto ni Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana, Kazi na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Wapili kulia ni Kamishina wa Kinga na Tiba wa Mamlaka hiyo, Peter Mfisi. 

Vijana wa Lindi wakiandamana mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozindua Maadhimisho ya wiki ya Vijana kitaifa yaliyofanyika kwenye viwanja vya mpilipili mjini Lindi, Oktoba, 10, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua maadhimisho wiki ya Vijana kitaifa kwenye viwanja vya Mpilipili mjini Lindi, Oktoba10, 2019. EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.