Saturday, October 12, 2019

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA JENGO LA SHULE YA SEKONDARI YA LINDI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi  wa jengo la Shule ya Sekondari ya Lindi, Oktoba 12, 2019.  Wa nne kulia ni Mkuu wa  Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, Wa tatu kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Rehema Madenge na wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhamaga (wa pili kulia), Waziri wa Vijana, Utamaduni na Michezo wa Zanzibar, Balozi Ali Karume  (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi (wa pili kushoto)  wakati alipokagua maandalizi ya Uwanja wa Michezo wa Ilulu wa mjini Lindi kwa ajili ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa  Uhuru, Oktoba 12, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwapungia wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Lindi wakati alipowasili shuleni hapo kukagu ujenzi wa jengo la shule hiyo, Oktoba 12, 2019.  Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi.
EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.