Sunday, October 6, 2019

6.10.2019 ZIARA YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU MKOANI SINGIDA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na mtaalam wa maabara, Bahati Ipunda,  wakati akikagua kituo cha afya cha Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, Oktoba 6.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kukagua kituo cha afya cha Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, Oktoba 6.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua kituo cha afya cha Ndago, kilichopo katika Wilaya ya Iramba, mkoani Singida, Oktoba 6.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa ameshika kipande cha tofali, kilichobomoka, wakati akikagua kituo cha afya cha Ndago, wilayani Iramba, katika Mkoa wa Singida, na kutoridhishwa na ujenzi wa kituo hicho, Oktoba 6.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua chumba cha kufanyia upasuaji, katika kituo cha afya cha Ndago, kilichopo katika Wilaya ya Iramba, mkoani Singida, Oktoba 6.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na mtaalam wa maabara, Bahati Ipunda,  wakati akikagua kituo cha afya cha Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, Oktoba 6.2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.