Thursday, November 23, 2017

CHUO KIKUU ARDHI MARUFUKU KUKODI MAKAMPUNI-MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (katikati )akimuelekeza jambo Makamu Mkuu wa Chuo cha Ardhi (kushoto)Profesa Evaristo Liwa.kulia kwa Waziri Mkuu,ni Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi. Profesa Joyce Ndalichako.Waziri Mkuu leo Novemba 23 /2017 alikuwa mgeni Rasimi katika Sherehe za Miaka 10 ya Chuo cha Aridhi  Dar es salaam
Waziri Mkuu. Kassim Maliwa,(kulia) akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu na Mkuu wa Chuo Kikuu  Aridhi Tanzania. David Cleopa Msuya .wakati wa uzinduzi wa Sherehe ya miaka Kumi ya Chuo Kikuu cha Ardhi ambayo yameanza leo Novemba 23/2017 Jijini Dar es salaam.katikati ni Rais wa Jumuia ya wahitimu Chuo Kikuu cha AridhiEmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.