Saturday, November 25, 2017

WAZIRI MKUU AKABIDHI KOMBE LA UBINGWA KWA TIMU YA AFISI KUU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhi kombe  kwa nahodha wa timu ya Afisi Kuu .Bwana  Vuai Jecha baada ya timu yake kuibuka mshindi kwakuifunga timu ya Kwahani mabao 3 kwa 1. katika mchezo wa fainali uliochezwa Uwanja wa Aman Zanziba, Novemba 25,2017


Waziri Mkuu .Kassim Majaliwa mwenye nguo nyeupe akiwa katika picha ya pamoja na timu ya Afisi Kuu ZanzibarEmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.