Thursday, November 16, 2017

MAJALIWA AKISALIMIAN NA WAGENI MBALIMBALI WALIOTEMBELEA BUNGE MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Aldersgate ya mjini Babati ambao walitembelea Bunge Mjini Dodoma kwa lento la kujifunza Novemba 16, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu  na  wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Ibuaga wilayani Kongwa ambao walitembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao Spika wa Bunge, Job Ndugai Novemba 16, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM wa mkoa wa Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 16, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanachuo wa Chuo Kikuu cha Saint John cha mjini Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mini Dodoma Novemba 16, 2017.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.