Friday, November 24, 2017

WAZIRI MKUU AKIWA KATIKA ZIARA YA KIKAZI NAMTUMBO,TUNDURU MKOANI RUVUMA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amempa mwezi mmoja  Afisa Ardhi wa Wilaya ya Namtumbo Bwana  Maurus  Year kuhakikisha ametatua tatizo la Ardhi lilodumu miaka kumi katika Wilaya ya Namtumbo. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo jana Novemba 23,2017  katika mkutano wa hadhara Wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma.

Waziri Mkuu. Kassim Majaliwa akiongea na Wananchi wa kijiji cha Chomolo Wilaya ya Namtumbo wakati walipo simamisha msafara wake Novemba 24,2017 alipokuwa akielekea katika ziara ya kikazi katika wilaya ya Tunduru Mkoani  Ruvuma.
Wananchi wa Wilaya ya Namtumbo wakimsikiliza kwa makini Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa  akihutubia Mkutano wa hadhara katika Uwanja wa michezo wa Rwinga uliopo Wilaya ya Namtumbo Mkoa wa Ruvuma Novemba 23,2017.
EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.