Saturday, March 9, 2019

MAJALIWA AFUNGUA AWAMU YA PILI YA UPANUZI WA HOSPITALI YA AGA KHAN JIJINI DAR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Machi 9, 2019 amefungua awamu ya pili ya upanuzi hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam. Pichani ni jengo lililozinduiliwa.
Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akikagua chumba cha kisasa cha upasuaji wakati alipofungua awamu ya pili ya upanuzi wa hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam,  Machi 9, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Binti Mfalme, Zahra Aga Khan  (wapili kushoto) wakifurahia baada ya kufungua awamu ya pili ya upanuzi wa hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam, Machi 9, 2019. Kushoto ni Waziri wa Afya, Maendeleo yaJamii, Jinsia,  Wazee na Watoto Ummy Mwalimu na kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Kanda ya Afrika Mashariki wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa,  (Agence Francaise de Developpment), Christian Yoka.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipita katika maeneo ya hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salam baada ya kufungua awamu ya pili ya upanuzi wa hospitali hiyo jijini D, Machi 9, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi walioshiriki katika sherehe za ufunguzi wa awamu ya pili ya upanuzi wa hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam, Machi 9, 2019. Kulia kwake ni Binti Mfalme, Zahra Aga Khan na kushoto kwake ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema. EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.