Sunday, March 24, 2019

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WACHEZAJI NA VIONGOZI WA TAIFA STARS

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wachezaji na viongozi wa Timu ya Taifa ya Soka - Taifa Stars jijini Dar es salaam, Machi 23, 2019. Wa pili kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangala  na kulia ni Mwenyekiti wa TFF, Wallas Karia.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Timu ya Taifa  ya Soka – Taifa Stars baada ya kuzungumza nao  jijini Dar es salaam, Machi 23, 2019. Wa tano kulia (mstari wa mbele), ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangala  na wa sita ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.  Wa nne kushoto ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Nahodha wa Timu ya Taifa  ya Soka - Taifa Stars, Mbwana Samata  baada ya kuzungumza na wachezaji na viongozi wa timu hiyo  jijini Dar es salaam, Machi 23, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Nahodha wa Timu ya Taifa  ya Soka - Taifa Stars, Mbwana Samata  baada ya kuzungumza na wachezaji na viongozi wa timu hiyo  jijini Dar es salaam, Machi 23, 2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.