Tuesday, March 19, 2019

MAJALIWA AKABIDHI MATREKTA KWA WENYEVITI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA MSINGI MWANZA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasha trekta aina ya Ursus  wakati alipokabidhi matrekta16 yenye thamni ya shillings bilioni 1.8  kwa wenyeviti wa baadhi ya  Vyama vya Ushirika via Msingi mkoani Mwanza    katika hafla fupi iliyoandaliwa na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenye mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa trekta aina ya Ursus, Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika cha Msingi cha Ugata wilayani Magu, Bw. Enock Ng'ombe katika hafla fupi ya kukabidhi matrekta 16 yenge hamani ya shilingi bilioni 1.8  kwa Vyama vya Ushirika vya  Msingi iliyoandaliwa na Shirika la Maendeleo la Taifa  (NDC) kwenye mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi  19, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa trekta aina Ursus, Mwenyekitiu wa Chama cha Msingi cha Mgundama, Bibi Getrude John katika hafla fupi ya kukabidhi matrekta 16 yenge hamani ya shiliĆ¼ngi bilioni 1.8 kwa Vyama vya Ushirika vya Msingi iliyoandaliwa na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenye mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa trekta aina ya Ursus, Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika cha Msingi cha Busisi wilayani Sengerema, Bibi  Amina Makone katika hafla fupi ya kukabidhi matrekta 16 yenge hamani ya shiliĆ¼ngi bilioni 1.8 kwa Vyama vya Ushirika vya Msingi iliyoandaliwa na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenye mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, 2019.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.