Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana
na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akipokea vifaa tiba pamoja
na vifaa saidizi kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Biashara Banki ya NMB
Bw.Filbert Mponzi wakati wa uzinduzi wa Kituo cha kutolea huduma za tiba
na matunzo kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI katika Mji mdogo wa
Mirerani wilayani Simanjiro.
 |
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana
na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akihutubia wananchi wa
Mirerani wakati wa warsha ya uzinduzi wa Kituo cha kutolea huduma za
tiba na matunzo kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI katika Mji mdogo
wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara Machi 1, 2019. |
 |
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana
na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akifunua kitambaa mara baada
ya kukata utepe kuashiria uzinduzi wa Kituo cha kutolea huduma za tiba
na matunzo kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI katika Mji mdogo wa
Mirerani wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara Machi 1, 2019. |
 |
Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Dkt. Leonard Maboko akihutubia wananchi wa Mirerani wakati wa warsha hiyo.
|
 |
Baadhi
ya wakazi wa Mirereni wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana
na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati wa
uzinduzi wa kituo hicho.
|
 |
Baadhi
ya wakazi wa Mirereni wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye
Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa
kituo hicho.
|
 |
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana
na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akimpongeza msanii kutoka
Sanaa madini group, Alex alipoimba wimbo wa kuhamasisha jamii kupima VVU
wakati uzinduzi wa Kituo cha kutolea huduma za tiba na matunzo kwa watu
wanaoishi na virusi vya UKIMWI katika Mji mdogo wa Mirerani wilayani
Simanjiro.
|
 |
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana
na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akiangalia mtoto aliyezaliwa
katika Kituo hicho Mapema mwishoni mwa wiki hii.
|
 |
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana
na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akimpongeza Bi.Jenita Vicent
mara baada ya kujifungua mtoto wa kike katika kituo hicho.
|
 |
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana
na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo na msimamizi
wa Kituo cha Afya cha Mirerani Dkt.Hassan Ishabailu mara baada ya
kuwasili na kukagua shughuli za kituo hicho Machi 1, 2019 katika Wilaya
Simanjiro Mkoani Manyara.
|
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.