Friday, March 8, 2019

MAJALIWA ATOA POLE KWA FAMILIA YA MTANGAZAJI WA CLOUDS FM, EFRAIM KIBONDE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mtangazaji wa Clouds FM, Efraim Kibonde wakati alipokwenda nyumbani kwao marehemu, Mbezi Beach jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia, Machi 8, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Samson Job Kibonde ambaye ni baba mzazi wa Mtangazaji wa Clouds FM, Ephrim Kibonde wakati alipokwenda nyumbani kwao marehemu, Mbezi Beach jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia, Machi 8, 2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimfariji Hilda Samson Kibonde ambaye ni mama mzazi wa Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde wakati alipokwenda nyumbani kwao  marehemu, Mbezi Beach jijini Dar es salaam, kutoa pole kwa familia, Machi 8, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Samson Job Kibonde ambaye ni baba mzazi wa Mtangazaji wa Cloud FM, Ephrim Kibonde wakati alipokwenda nyumbani kwao marehemu, Mbezi Beach jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia, Machi 8, 2019. Wapili kulia ni Mkurugenzi wa Clouds Media, Joseph Kusaga.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.