Monday, March 18, 2019

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA KAZI WA MAAFISA HABARI NA MAWASILIANO SERIKALINI.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza kufungua mkutano wa Kazi wa Siku Tano wa Maafisa hao , Machi 18, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungau Mkutano wa Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Machi 18, 2019.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa siku tano wa Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini wakimsikiliza, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano wao wa siku tano kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Machi 18, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi , Afisa wa Mawasiliano wa NSSF, Lulu Mengele, Cheti cha Shukuruani kwa udhamini wa  NSSF  wa Mkutano wa Kazi wa Maafisa Habari na Mawasiliano  Serikalini alioufungua kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Machi 18, 2019.  Kushoto ni Waziri wa Habari ,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti cha shukurani ya udhamini wa Mkutano wa Kazi wa Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), Masanja Kadogosa baaada ya kufungua Mkutano wa siku tano wa Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini, Kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Machi 18, 2019. Kushoto ni Waziri wa Habari, Umaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.  Harrison Mwakyembe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Kaimu Mhariri Mtendaji wa  Magazeti ya Serikali ya Daily News  na Habari Leo (TSN), Tuma Abdallah cheti cha shukurani ya udhamini  wa Mkutano wa Kazi wa Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini uliofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Machi 18, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisindikizwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe baada ya kufungua Mkutano wa Kazi wa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikalini kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Machi 18, 2019. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.