Saturday, June 22, 2019

MAJALIWA ASHIRIKI BONANZA LA BENKI YA NMB NA WABUNGE JIJINI DODOM

Martin Massawe wa NMB akimlamba chenga  Abdallah Aman wa Bunge  (kushoto) katika mechi ya soka ya Bonanza la Benki ya NMB na Wabunge kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Juni 22, 2019. Bunge ilishinda  5-3.

Abdallah Aman wa Bunge  (kushoto) akizuia mpira huku akizongwa na Martin Massawe wa Bunge katika mechi ya soka ya Bonanza la Benki ya NMB na Wabunge iliyochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Juni 22, 2019. Bunge ilishinda 5-3.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Kikombe nahodha wa timu ya soka ya Bunge, Cosato Chumi baada ya timu yake kuibuka na ushindi wa 5-3 dhidi ya timu ya NMB katika mchi ya Bonanza la Benki ya NMB na Wabunge kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Juni 22, 2019. Kushoto ni Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson Mwansasu.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (kushoto) wakimtazama nahodha wa timu ya Soka ya Bunge, Cosato Chumi aliponyanyua kikombe cha ushindi  wa mechi ya soka ya Bonanza la Benki ya NMB na Wabunge kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Juni 22, 2019.  Bunge ilishinda 5 - 3.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.