Monday, June 17, 2019

BUNGENI LEO 17.06.2019

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Madini,  Stanslaus Nyongo, Bungeni jijini Dodoma, Juni 17, 2019.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masala ya Watu Wenye Ulemavu, Stella Ikupa  (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na  Michezo, Juliana Shonza, Bungeni jijini Dodoma, Juni 17, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika, Stephen Masele kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 17, 2019. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Latifa Chande.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 17, 2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.