Monday, June 17, 2019

SERIKALI YAWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI MAZINGIRA RAFIKI YA UWEKEZAJI NCHINI

Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki (Mb)   pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Profesa Palamagamba Kabudi wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa kongamano hilo, wa pili kutoka kushoto waliokaa ni Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Dkt. Inmi Patterson.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akihutubia wakati wa kufunga Kongamano hilo.
Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki (Mb)  akizungumza na waandishi wa habari masuala ua uwekezaji walipokutana nao wakati wa kongamano la kujadili masuala hayo kwa wawekezaji wa Kimarekani, kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi na kushoto kwake ni Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Dkt. Inmi Patterson.
Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki (Mb)  akizungumza na waandishi wa habari masuala ua uwekezaji walipokutana nao wakati wa kongamano la kujadili masuala hayo kwa wawekezaji wa Kimarekani, kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi.na kushoto kwake ni Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Dkt. Inmi Patterson.
Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki (mb) akizungumza na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Dkt. Inmi Patterson mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mikutano wa Hyatt Jijini Dar es Salaam walipokutana kujadili masuala ya uwekezaji nchini wa kwanza kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi.
Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akitoa neno la ufunguzi wakati wa mkutano wake na wawekezaji kutoka Marekani waliopo nchini alipokutana nao 17 Juni, 2019 katika Ukumbi wa Mikutano wa Hyatt Jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala ya uwekezaji nchini.
Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Dkt. Inmi Patterson akihutubia wakati wa Kongamano la wawekezaji wa Marekani walipokutana na kujadili masuala ya majadiliano ya masuala ya mazingira ya biashara baina ya nchi hiyo na Tanzaia tarehe 17 Juni, 2019 Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Bw. Geoffrey Mwambe akiwasilisha mada ya masuala ya Uwekezaji nchini wakati wa kongamano hilo.
Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki (katikati mwenye kitenge cha kijani) pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Dkt. Inmi Patterson (mwenye koti jeupe) wakifuatilia uwasilishwaji wa mada wakati wa kongamano hilo.
Sehemu ya wajumbe walioshiriki katika kongamano hilo wakifuatilia uwasilishwaji wa mada mbalimbali.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.