Saturday, June 15, 2019

WAZIRI MKUU ATOA POLE NYUMBANI KWA MKURUGENZI WA SPORT-PESA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwapa pole Ndugu wa Tarimba Abbas, kwa kufiwa na watoto wake wawili, Maisam na Alliazgar Tarimba Abbas, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es SalaamJuni 16.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimpa pole, Mkurugenzi wa Uendeshaji Sport Pesa Tanzania, Tarimba Abbas, kwa kufiwa na watoto wake wawili, Maisam na Alliazgar Tarimba Abbas, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es SalaamJuni 16.2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.