Thursday, June 20, 2019

BUNGENI LEO 20.06.2019

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angela Kairuki, Bungeni jijini Dodoma Juni 20, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, Bungeni jijini Dodoma  Juni 20, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, Bungeni jijini Dodoma  Juni 20, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, Bungeni jijini Dodoma, Juni 20, 2019.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.