Friday, July 28, 2017

MAJALIWA AANZA ZIARA YA MKOA WA MBEYA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe kuanza ziara ya mkoa wa Mbeya Julai 28,2017
Baadhi ya watumishi wa umma wa wilaya ya Kyela wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza naokwenye ukumbi wa Halmahauri ya wilaya ya Kyela akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya julai 29, 2017

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa umma wa  wilaya ya Kyela  baada ya kupokea taarifa ya mkoa huo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla (kushoto) kwenye ukumbi wa Halmashuri ya Wilaya ya Kyela Julai 29, 2017. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa skafu na vija wa CCM, Green Guard bade ya kuwasili kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela kuanza ziara wilayani humo Julai 29, 2017. Kushoto kwake ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu na kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Mbeya baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe kuanza ziara ya mkoa wa Mbeya Julai 28, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe kuanza ziara ya mkoa wa Mbeya julai 28, 2017.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.