Thursday, July 20, 2017

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MKWAJUNI, SONGWE

 Wananchi wa Songwe wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadahara katika uwanja wa michezo wa Songwe Julai 20, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimpongeza Mwenyekiti wa CHADEMA wa kata ya Kangwa wilayani Songwe ,Keneth Nzowa ambaye pamoja na wenzake walitangaza kukihama Chama hicho na kujiunga na CCM katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa michezo wa Mkwajuni wilayani Songwe Julai 20, 2017.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Chief  Mwibongo wa Ivungu baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa michezo wa Mkwajuni wilayani Songwe Julai 20, 2017.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.