Saturday, July 22, 2017

ZIARA YA WAZIRI MKUU MBOZI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Ileje baada ya kuwasili kwenye makazi ya Mkuu wa wilaya hiyo  akiwa katika ziara ya mkoa wa Songwe Julai 22, 2017.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge Janet Mbene wa Ileje (kulia) na Juliana Shonza wa Viti Maalum baada ya kuwasili kwenye makazi ya Mkuu wa wilaya ya Ileje kuanza ziara wialyani humo Februari 22, 2017.
Baadhi ya watumishi wa umma, viongozi wa dini na taasisi binafsi wakimsikiliza  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao mjini Ileje Julai 22, 2017.
 
Baadhi ya watumishi wa umma, viongozi wa dini na taasisi binafsi wakimsikiliza  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao mjini Ileje Julai 22, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa umma, viongozi wa dini na viongozi wa taasisi binafsi mjini Ileje Julai 22, 2017.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa jengo la hospitali ya wilaya ya Ileje akiwa katika ziara ya mkoa wa Songwe, Julai 22, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary  (kushoto) wakitazama mbegu za mahindi zinazozalishwa na Kikundi cha SAM cha Ileje wakati alipotembelea banda la kikundi hicho kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye stendi ya mabasi ya Ileje Julai 22, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vifaranga wa samaki wakati alipotembelea banda la Kikundi cha wanawake cha Tukazane cha Ileje  kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye stendi ya mabasi ya Ileje Julai 22, 2017.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.