Wednesday, July 26, 2017

MAJALIWA AFUNGUA MAONYESHO YA VYUO VIKUU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu mtambo wa kuamia ndege waharibifu wa mazao kutoka kwa Mkuu wa Taasisi ya Tekinolojia ya Dar es salaam (Dar es salaam Insititute of Technology), Profesa  Preksedis Ndomba  (kulia) wakati alipotembelea banda la Taasisi hiyo katika Maonyesho ya Vyuo Vikuu yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnanzi Mmoja jijini Dar es salaam Julai 26, 2017. Kulia kwake ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles  Mwijage.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na  Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage  (kulia kwake) pamoja na Viongozi wa TCU wakiimba wimbo wa taifa kabla ya Waziri Mkuu kufungua Maonyesho ya Vyuo Vikuu kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam Julai 26, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea mabanda kabla ya kufungua Maonyesho ya Vyuo Vikuu kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam Julai 26, 2017.
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na  baadhi ya viongozi na wawakilishi wa taasisi mbalimbali zilizoshiriki katika Maonyesho ya Vyuo Vikuu yaliyofanyika kwenye viwanja vya  Mnazi Mmoja jijini Dr es salaam Julai 26, 2017.


Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na  baadhi ya viongozi na wawakilishi wa taasisi mbalimbali zilizoshiriki katika Maonyesho ya Vyuo Vikuu yaliyofanyika kwenye viwanja vya  Mnazi Mmoja jijini Dr es salaam Julai 26, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema baada ya kuwasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja  kufungua Monyesho ya Vyuo Vikuu jijini Dar es salaam Julai 26, 2017.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.