Friday, July 21, 2017

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua  wa Ujenzi wa banio na mfereji wa maji wakati alipotembelea mradi wa kilimo cha umwagiliaji wa Makamba wilayani Momba Julai 21, 2017.
Baadhi ya wananchi wa mji mdogo wa Tunduma  mkoani Songwe wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia kwenye Uwanja wa Shule ya Misngi ya Mwaka Julai 21, 2017.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza ujumbe kutoka kwa Chifu Jubeki Chimpansya wa  Momba baada ya kusimikwa na wazee wa mila kuwa Chifu Simpanji katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye Uwanja wa Shule ya Misngi ya Mwaka katika mji mdogo wa Tunduma mkoani Songwe Julai 21, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipokagua eneo la ujenzi wa jengo la pamoja la forodha kwenye mpaka wa Tanzania na Zambia  katika mji mdogo wa Tunduma. Alikuwa  katika ziara ya mkoa wa Songwe Julai 21, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary  (kushoto kwake) wakitazama gari lililotengenezwa na  Adam Zachariah Kinyekie wakati alipowasili kwenye uwanja wa Shule ya Misngi ya Mwaka katika mji Mdogo wa Tunduma kuhutubia mkutano wa hadhara Julai 21, 2017. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mbeya na Songwe, Erasto Zambi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Shule ya Misingi ya Mwaka katika mji mdogo wa  Tunduma.  Alikuwa  katika ziara ya mkoa wa Songwe Julai 21, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Shule ya Misingi ya Mwaka katika mji mdogo wa  Tunduma.  Alikuwa  katika ziara ya mkoa wa Songwe Julai 21, 2017.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  Dickson Mwandambila ambaye ni mlemavu baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye  Uwanja wa Shule ya Msingi ya Mwaka katika mji mdogo wa Tunduma.  Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Songwe Julai 21, 2017.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.