Monday, July 1, 2019

TTCL YASAMBAZA HUDUMA YA MAWASILIANO KWA VIONGOZI

Waziri Mkuu  Kassim Majaliwa. Akabidhiwa Simu ya TTCL na Mkurugenzi Mkuu wa Shrika la Simu Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba, leo Julai 1,2019 Jijini Dar es salaam ,wanao shuhudia kushoto kwa Waziri Mkuu ni Meneja wa TTCL Mkoa wa Kinondoni Bibi Janeth Maeda na kulia mwisho ni Meneja Huduma wa TTCL Kinondoni Bwana Salim Msalilwa.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.