Wednesday, July 10, 2019

ZIARA YA WAZIRI MKUU NCHINI MISRI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia bidhaa ya ngozi, wakati alipotembelea kiwanda kikubwa cha ngozi cha Robbiki, kilichopo katika mkoa wa Sharkia, nchini MisriJulai 9.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia bidhaa ya ngozi, wakati alipotembelea kiwanda kikubwa cha ngozi cha Robbiki, kilichopo katika mkoa wa Sharkia, nchini MisriJulai 9.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea zawadi ya ngao, kutoka kwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mfereji wa Suez Canal, Admiral Mohab, wakati alipotembelea mfereji huo mpya nchini MisriJulai 9.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa kwenye boti,wakati alipotembelea mfereji wa Suez Canal, katika mji wa Ismailia, Misri Julai 9.2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.