Saturday, July 27, 2019

MAJALIWA AWASILI JIMBONI KWAKE RUANGWA KWA MAPUMZIKO MAFUPI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na viongozi wa mkoa  wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Lindi akiwa njiani kwenda jimboni kwake Ruangwa kwa mapumziko mafupi, Julai 27, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Ruangwa akizungumza na wananchi katika viwanja vya Shule ya Msingi ya Nanganga wilayani Ruangwa, Julai 27, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Ruangwa akisalimiana na viongozi wa kata ya Nanganga wakati alipowasili kwenye Shule ya Msingi ya Nanganga wilayani Ruangwa akiwa katika mapumziko mafupi jimboni kwake, Julai 27, 2019.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.