Monday, July 29, 2019

MAJALIWA AKAGUA MAJENGO YA SHULE YA SEKONDARI YA LIUGURU NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye Shule ya Sekondari ya Liuguru wilayani Ruangwa kukagua majengo ya Shule hiyo na kuzungumza na wananchi, Julai 29, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari ya Liuguru wilayani Ruangwa, Julai 29, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua darasa  wakati alipotembelea Shule ya Sekondari ya Liuguru wilayani Ruangwa Julai 29, 2019. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa, Andrew Chezue. EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.