Monday, July 8, 2019

ZIARA YA WAZIRI MKUU NCHINI MISRI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Uwekezaji, Dkt. Sahar Nasr, kabla ya kukutana na Wawekezaji kutoka Misri, katika Hoteli ya Almasaa mjini Cairo MisriJulai 8.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Wawekezaji kutoka Misri, katika Hoteli ya Almasaa mjini Cairo MisriJulai 8.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Wawekezaji kutoka Misri, katika Hoteli ya Almasaa mjini Cairo MisriJulai 8.2019.
Wawekezaji kutoka Misri, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, alipozungumza nao, katika Hoteli ya Almasaa mjini Cairo MisriJulai 8.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Wawekezaji kutoka Misri, katika Hoteli ya Almasaa mjini Cairo MisriJulai 8.2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.