Wednesday, May 16, 2018

BUNGENI LEO 16.05.2018

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi ,Vijana Ajira,  na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina, Bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2018.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma, Mei 16, 2018.


Waziri wa Kilimo na Mifugo, Luhaga Mpinda  akitoa maelezo kuhusu uhakika wa usalama wa nyama wanayokula watanzania, Bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2018.
Waziri wa Kilimo na Mifugo, Luhaga Mpinda  akitoa maelezo kuhusu uhakika wa usalama wa nyama wanayokula watanzania, Bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Madaba, Mheshimiwa Joseph Mhagama kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 16, 2018.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akizungumza na wanawake kutoka Mbeya  waliotembelea Bunge kwa mwaliko wa Naibu Waziri wa Kilimo Mary Mwanjelwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 16, 2018. Watatu kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Dkt. Harrison Mwakyembe. Kulia ni Mbunge wa Lupa,  Bvictor Mwambalaswa na watano kulia ni Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinda.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.