Saturday, May 12, 2018

WATUMISHI WA OFISI WAZIRI MKUU WAPEWA MAFUNZO YA KUZIMA MOTO

Mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Joseph Mboje akizima moto kwa kutumia kifaa rasmi cha kuzima moto katika mafunzo ya kuzima moto yaliyoendeshwa na Maofisa wa Kikosi cha Zimamoto cha jijini Dodoma Mei 12, 2018. Mafunzo hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.


Mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ruth Mwasakafyuka akizima moto katika mafunzo  ya kuzima moto kwa kutumia kifaa rasmi cha kuzima moto yaliyoendeshwa na Maofisa wa Kikosi cha Zimamoto cha jijini  Dodoma Mei  12, 2018. Mafunzo hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.
 Mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Joseph Mboje akizima moto kwa kutumia kifaa rasmi cha kuzima moto katika mafunzo ya kuzima moto yaliyoendeshwa na Maofisa wa Kikosi cha Zimamoto cha jijini Dodoma Mei 12, 2018. Mafunzo hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.