Thursday, May 24, 2018

MAJALIWA AFUNGUA VITUO VYA POLISI MBURAHATI, KILUVYA NA MBWENI - DAR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kufungua Kituo cha Polisi cha Kiluvya wilayani Ubungo Mei 24, 2018. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhadisi, Hamad masauni na wanne kukhoto ni Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Siro, Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa a Dar es salaam na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Siro baada ya kufungua Kituo cha Polisi cha Mbweni Wilayani Kawe, Mei 24, 2018.
Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Siro akizungumza wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofungua Ktuo cha Polisi cha Mbweni ,jijini Dar es salaam, Mei 24, 2018.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamd Masauni akizungumza wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofungua Kituo cha Polisi cha Mbweni , jijini Dar es salaam, Mei 24, 2018.
Baadhi ya mwananchi waliohudhuria katika ufunguzi wa Kituo cha Polisi cha Mbweni , jijini Dar es salaam wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua kituo hicho, Mei 24, 2018.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.