Saturday, May 26, 2018

MAJALIWA AHUTUBIA NA KUKABIDHI ZAWADI KATIKA MASHINDANO YA KUHIFADHI QU- RAAN TUKUFU JIJINI DAR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius  Nyerere jijini Dar es salaam kuwa mgeni rasmi katika Mashindano ya Kitaifa ya Kuhifadhi Quraan Tukufu yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Kiislam ya Istiquaama Tanzania, Mei 26, 2018.

 Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir akizungumza katika Mashindano ya Kitaifa ya kuhifadhi Qur-aan Tukufu  yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Kiislam ya Istiquaama Tanzania kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Mei 26, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mashindano ya Kitaifa ya kuhifadhi Qur-aan Tukufu  yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Kiislam ya Istiquaama Tanzania kwenye Kituo cha Mikutano cha kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam,Mei 26, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Kombo Faki Hamadi kutoka Pemba zawadi ya Shilingi milioni 4 baada ya kuibuka  kuwa mshindi wa kwanza wa Juzuu 30 katika Mashindano ya Kitaifa ya Kuhifadhi Qur-aan Tukufu  yaliyofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius  Nyerere jijini Dar es salaam, Mei 26, 2018. Katikati ni Mwenyekiti wa  Jumuiya ya Kiislam ya Istiquaama  Tanzania (Istiqaama Muslim Community of Tanzania), Seif Ali Seif.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti  wa  Jumuiya ya Kiislam ya Istiquaama  Tanzania ( Istiqaama Muslim Community of Tanzania), Seif Ali Seif katika Mashindano ya Kitaifa ya kuhifadhi Qur-aan Tukufu  yaliyoandaliwa na Jumuiya hiyo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam,Mei 26, 2018.

Baadhi ya washiriki wa Mashindano ya Kitaifa ya kuhifadhi Qur-aan Tukufu  yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Kiislam ya Istiquaama Tanzania wakimsikiliza Mgeni Rasmi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Mei 26, 2018. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana  na baadhi ya viongozi wa  Taasisi na Jumuiya za Kiislam waliohudhuria katika Mashindano ya Kitaifa ya kuhifadhi Qur-aan Tukufu  yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Kiislam ya Istiquaama Tanzania kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam,Mei 26, 2018. 

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.