Wednesday, May 23, 2018

MAJALIWA AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA, ALPHAYO KIDATA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Balozi Alphayo Kidata ambaye alikwenda kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam kuaga, Mei 23, 2018. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Balozi Alphayo Kidata ambaye alikwenda  kwenye Makazi ya Waziri Mkuu Oysterbay  jijini Dar es salaam kuaga, Mei 23, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Balozi Alphayo Kidata baada ya mazungumzo yao kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam, Mei 23, 2018.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.