Thursday, May 17, 2018

BUNGENI LEO 17.05.2018

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali ya papo kwa papo, Bungeni jijini Dodoma, Mei 17, 2018.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Suleiman Jaffo akizungumza na Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule, Bungeni jijini Dodoma, Mei 17, 2018.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Faustine Ndugulile,  akijibu swali, Bungeni mjini Dodoma, Mei 17, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Madini, Angela Kairuki, Bungeni jijini Dodoma, Mei 17, 2018. 

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega,  akijibu swali, Bungeni mjini Dodoma, Mei 17, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifurahi jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Suleiman Jaffo, Bungeni jijini Dodoma, Mei 17, 2018.

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, akizungumza Bungeni mjini Dodoma Mei 17, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Hanang, Mary Nagu, Bungeni jijini Dodoma, Mei 17, 2018. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia, Bungeni jijini Dodoma, Mei 17, 2018.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.