Friday, May 25, 2018

MAJALIWA AZUNGUMZA NA KAMATI YA AMANI YA WILAYA YA RUANGWA, PIA AFUTARISHA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Amani ya  wilaya ya Ruangwa inayoundwa na viongozi wa dini kwenye ukumbi wa CCM katika mji mdogo wa Ruangwa Mei 25, 2018.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Amani ya wilaya ya Ruangwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa CCM katika mji mdogo wa Ruangwa Mei 25, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa mji mdogo wa Ruangwa alipokuwa akitembea kuelekea uwanja wa Shule ya Msingi  ya  Likangala kufuturisha, Mei 25, 2018. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na baadhi viongozi dini na wazee baada ya kufutarisha kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala  katika mji mdogo wa Ruangwa, Mei 25, 2018.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.