Saturday, May 19, 2018

MAJALIWA ONGOZA KIKAO CHA WADAU WA KAHAWA OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza katika kikao kati yake na  Viongozi Wakuu wa Wizara ya Kilimo, Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa, Wakuu wa Mikoa na Viongozi wa Vyama  vya Ushirika kutoka Mikoa inayolima Kahawa. Kikao hicho kulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 19, 2018. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama  na kulia ni Waziri wa Kilimo , Dkt. Charles Tizeba.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza katika kikao kati yake na Viongozi Wakuu wa Wizara ya Kilimo, Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa, Wakuu wa Mikoa na Viongozi wa Vyama  vya Ushirika kutoka Mikoa inayolima Kahawa . Kikao hicho kulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 19, 2018. 

Baadhi ya washiriki wa kakao cha Viongozi Wakuu wa Wizara ya Kilimo, Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa, Wakuu wa Mikoa na Viongozi wa Vyama  vya Ushirika kutoka Mikoa inayolima pamba wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 19, 2018.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.