Sunday, May 20, 2018

WAZIRI MKUU AHUDHURIA MISA YA KUTAWAZA ASKOFU MKUU JIMBO LA ANGLIKANA DODOMA

Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akisalimiana na Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglikan Tanzania, Jaco Chimeldya katika  sherehe ya kumtawaza Askofu Mkuu wa Saba wa kanisa hilo, Maimbo Fabian Mdolwa  jijini Dodoma, Mei 20,2018. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika sherehe hiyo.
Spika wa Bunge Job Ndugai akisalimiana na Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania , Oscar Mnunga katika sherehe ya kumtawaza Askofu  Mkuu wa Saba wa kanisa hilo, Maimbo Fabian Mndolwa  jijini Dodoma, Mei 20, 2018. 

Mkuu wa mkoa wa Dodoma,  Dkt. Binilith Mahenge akizungumza na Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Jacob Chimeledya katika sherehe ya kumtawaza Askofu  Mkuu wa Saba wa Kanisa hilo, Maimbo Fabian Mndolwa jijini Dodoma, Mei 20, 2018.


Askofu Mkuu wa saba wa Kanisa la Anglikana Tanzania,  Maimbo Fabian Mndolwa  akila kiapo wakati alipotawazwa  kuw Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, jijini Dodoma, Mei 20, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu Mkuu wa saba wa kania la Anglikana Tanzania,  Maimbo Fabian Mndolwa   baada ya ya Askofu huyo  kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, jijini Dodoma, Mei 20, 2018. Waziri Mkuu  alimwakilisha Rais John Pombe Magufuli.

Askofu Mkuu wa saba wa Kanisa la Anglikana Tanzania,  Maimbo Fabian Mndolwa  akizungumza na waumini wa kanisa hilo na wageni waalikwa baada ya kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, jijini Dodoma, Mei 20, 2018. Waziri Mkuu alimwakilisha  Rais John Pombe Magufuli katika sherehe hiyo.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza katika  Rais John Pombe Magufuli kwenye sherehe ya kumtawaza Askofu Mkuu wa saba, Maimbo Fabian Mndolwa, jijini Dodoma, Mei 20, 2018.2018.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.