Tuesday, May 15, 2018

BUNGENI LEO 15.05.2018

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Morogoro mjini, Aziz Abood, Bungeni jijini Dodoma, Mei 15, 2018.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Hanang, Mary Nagu, Bungeni jijini Dodoma, Mei 15, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Vunjo, James Mbatia, Bungeni jijini Dodoma, Mei 15, 2018.

Waziri wa Kilimo, Dkt. Charles Tizeba, akiwasilisha  Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara Kilimo ya 2018/2019, Bungeni mjini Dodoma, Mei 15, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya Dar es salaam International School, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 15, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 15, 2018.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.