Friday, February 1, 2019

KANALI MATAMWE “TUMEJIPANGA KUKABILI MAJANGA NCHINI”

Baadhi ya washiriki wakifuatilia uwasilishwaji wa hotuba kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Shughuli za Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kanali Jimmy Matamwe (hayupo pichani) wakati wa Warsha ya kupunguza madhara ya maafa nchini.
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Shughuli za Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kanali Jimmy Matamwe (wa kwanza kulia) pamoja na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara hiyo anayeshughulikia Mipango na Utafiti Bw.Bashiru Taratibu (wa kwanza kushoto) na Katarina Mouakkid Meneja wa Programu ya elimu ya majanga kutoka UNISDR (katikati) wakifuatilia uwasilishwaji wa mada wakati wa warsha hiyo.
Meneja wa Programu elimu ya majanga kutoka UNISDR Bi.Katarina Mouakkid akieleza jambo wakati wa kufunga warsha ya kupunguza madhara ya maafa nchini iliyofanyika Jijini Dodoma Februari 1,2019.
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Shughuli za Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kanali Jimmy Matamwe  (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi kutoka Mashirika ya Kimataifa ikiwemo, UNISDR, CIMA na mwakilishi kutoka VU.NL  na kulia kwake ni Bw.Charles Msangi mratibu wa maafa wa ofisi hiyo.
Mratibu wa Maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. John Kiriwai akiwasilisha mada wakati wa warsha ya kupunguza madhara ya maafa nchini iliyofanyika Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Shughuli za Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kanali Jimmy Matamwe akimkabidhi cheti cha ushiriki Bw. Bashiru Taratibu ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara hiyo anayeshughulikia Mipango na Tafiti wakati wa kufunga Warsha ya kupunguza madhara ya maafa nchini iliyofanyika Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Shughuli za Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kanali Jimmy Matamwe akimkabidhi cheti cha ushiriki kwa Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma Dkt.Wilhelim Kiwango mara baada ya kufungwa kwa wa Warsha ya hiyo.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.