Friday, February 8, 2019

BUNGENI LEO TAREHE 08.02.2019

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Naibu Waziri wa Maji, Juma Aweso, bungeni jijini Dodoma, Februari 8, 2019.
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi akizungumza na Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa, bungeni jijini Dodoma, Februari 8, 2019.
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi (kulia) akiteta na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde, bungeni jijini Dodoma, Februari 8, 2019.
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi (kulia) akiteta na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde, bungeni jijini Dodoma, Februari 8, 2019.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.