Wednesday, February 13, 2019

UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGE VYA KISASA UNAENDELEA DODOMA

Mafundi na wahandisi wa Kampuni ya FEERUM SA wakikamilisha ujenzi wa msingi wa moja ya maghala katika Mradi wa Ujenzi wa Maghala na Vihenge vya Kisasa vya kuhifadhia chakula unaojengwa  na Serikali katika eneo la Kizota jijini Dodoma, Februari 13, 2019. Ujenzi huo umepangwa kukamilika  Desemba mwaka huu.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.