Thursday, February 7, 2019

MASWALI KWA WAZIRI MKUU BUNGENI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali kutoka  Mbunge wa Mchinga, Hamidu Hassan Bobali ambaye aliuliza swali katika kipindi  cha Maswali kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Februari 7, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali, Bungeni jijini Dodoma, Februari 7, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali, Bungeni jijini Dodoma, Februari 7, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa  na  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,  Uwekezaji , Angela Kairuki baada ya kujibu vizuri sana maswali ya papo kwa papo, Bungeni jijini Dodoma, Februari 7, 2019. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.